Yoshua na Kalebu walikuwa na imani thabiti katika ahadi ya Mungu.
Ingawa kulikuwa na majitu katika Kanaani ambayo Mungu Alikuwa Ameahidi, Yoshua na Kalebu waliamini kwa uhakika kwamba hakika Mungu Atawapa.
Kama Kalebu ambaye hakusita kwenda kuiteka nchi ya ahadi hata akiwa na umri wa miaka 85, katika enzi hii, tunapaswa pia kutumainia mbinguni kwa imani sawa na Yoshua na Kalebu.
Kama vile Mungu Alivyokuwa pamoja na Yoshua na Kalebu katika safari yao kwenda Kanaani, leo, tunaweza kuhisi kwamba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama daima Wanafungua njia kwa ajili ya injili ya Kanisa la Mungu kuenea kwa kasi duniani kote.
“Hakuna hata mmoja wenu atakayeingia katika nchi niliyoapa kwa mkono ulioinuliwa kuwa makao yenu, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.”
Hesabu 14:30
Baada ya kifo cha Mose mtumishi wa BWANA, BWANA akamwambia Yoshua mwana wa Nuni, msaidizi wa Mose:
“ . . . Uwe hodari na shujaa, kwa sababu wewe ndiwe utakayewaongoza watu hawa kuirithi nchi niliyowaapia baba zao kuwapa. . . .
kwa kuwa BWANA Mungu wako atakuwa pamoja nawe kokote uendako.”
Yoshua 1:1–9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha