Sababu wana damu wanapaswa kumcha Mungu na kuishi maisha ya haki kulingana na mafundisho ya Mungu ni kuwa na furaha milele katika ufalme wa milele wa mbinguni, ambao Mungu Ameahidi.
Ndiyo maana Mtume Paulo alisema kwamba alikimbia kwa lengo la imani—wokovu wa roho.
Ili kutuongoza kwenye wokovu wa roho zetu, yaani, lengo la imani yetu, Kristo Ahnsahnghong Alikuja hapa duniani kwa mara ya pili katika mwili naye Akairudisha Pasaka ya agano jipya, ambayo iliondolewa mwaka 325 BK.
Wakifuata fundisho kwamba Roho Mtakatifu wa Mungu hawezi kukaa ndani yetu bila Pasaka, waumini wa Kanisa la Mungu ulimwenguni pote wanaiadhimisha Pasaka.
Haya yamewajia ili kwamba imani yenu, iliyo ya thamani kuliko dhahabu ipoteayo, ingawa hujaribiwa kwa moto, ionekane kuwa halisi na imalizie katika sifa, utukufu na heshima wakati Yesu Kristo atadhihirishwa. . . . Maana mnaupokea wokovu wa roho zenu, ambao ndio lengo la imani yenu. 1 Petro 1:7–9
Huu ndio ushuhuda: kwamba Mungu ametupa uzima wa milele, nao huo uzima umo katika Mwanawe.
1 Yohana 5:11
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha