Kama vile saa zilivyobuniwa kuturuhusu kuona kupita kwa muda bila kuonekana, tunaweza kuona kupitia Biblia hukumu ya kwenda mbinguni au jehanamu katika ulimwengu wa kiroho usioonekana.
Kwa kuwa Yesu, aliyekuja kama nuru, alikuja kwa mfano wa Melkizedeki, wafuasi Wake, waumini wa Kanisa la Mungu, pia wanaiadhimisha Pasaka ya agano jipya na wanafuata mafundisho Yake.
Miaka elfu mbili iliyopita, watu waligawanyika katika makundi mawili—wale waliomwamini Yesu Aliyekuja katika mwili kama Mwokozi wao na wale ambao hawakumwamini, na katika enzi ya Roho Mtakatifu, kuna wale wanaoamini katika Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, ambao wamekuja kama Roho na Bibi arusi, na wale ambao hawaji kama Roho.
Biblia inasema kwamba hukumu ya Mungu imeshaamuliwa, kwa msingi wa imani hii.
“Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko nuru kwa sababu matendo yao ni maovu.
Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.
Lakini yule aishiye kwa ukweli huja kwenye nuru, ili ionekane wazi kwamba matendo yake yametendeka katika Mungu.”
Yohana 3:19–21
Huu ndio ujumbe tuliosikia kutoka kwake na kuwatangazia ninyi: kwamba Mungu ni nuru na ndani yake hamna giza lolote.
1 Yohana 1:5
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha