Mungu Aliwapa watu wote mdua wa kutubu dhambi zao walizotenda Mbinguni vilevile na fursa ya kuamini katika Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Waliokuja katika mwili. Baada ya hilo, kulingana na matendo ya kila mtu, Mungu Atatenganisha wale watakaoenda Mbinguni na wale watakaohukumiwa.
Miongoni mwa wale watakaohukumiwa, kuna watu kama Yuda Iskariote aliyemuuza Yesu kupitia uamuzi wake mbaya, na manabii wa uongo kama vile Balaamu aliyewaongoza watu wa Mungu kuabudu sanamu kwa ushauri wake mwovu, na pia watu walioharibu ukweli wa Mungu na kuabudu mungu jua kupitia maagizo kama ibada ya Jumapili na Krismas kama vile ambavyo Mfalme Ahabu na Yezebeli walichukua shamba la mizabibu la Nabothi.
“Wanawake hao ndio waliofuata ushauri wa Balaamu, nao ndio waliowasababisha Waisraeli wamwasi BWANAkwa kile kilichotokea kule Peori, na kwa hiyo pigo liliwapata watu wa BWANA.”
Hesabu 31:16
“Hata hivyo, nina mambo machache dhidi yako: Unao watu wafuatao mafundisho ya Balaamu, yule aliyemfundisha Balaki kuwashawishi Waisraeli watende dhambi kwa kula vitu vilivyotolewa kafara kwa sanamu na kufanya uasherati.”
Ufunuo 2:14
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha