Ni kwa sababu tunaishi katika enzi iliyojawa
na makristo wengi wa uongo na mafundisho ya uongo.
Tunaweza kupambanua kati ya ukweli na uongo
kupitia neno la Mungu tu.
Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani
ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele,
maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi. Yohana 5:39
Kama Petro aliyepokea funguo za Ufalme wa Mbinguni
alipomtambua kwa usahihi Yesu ambaye ni Mungu,
tunapowatambua kwa usahihi Mungu Baba na Mungu Mama
waliokuja katika Enzi ya Roho Mtakatifu,
tunaweza kupokea baraka kubwa za Mbinguni.
Imeandikwa kwamba yaliyo duniani ni mfano na kivuli
ya yale yaliyo mbinguni. Hasa kupitia mfumo wa familia ya duniani,
Mungu Anatuamsha kwa mfumo wa familia ya mbinguni,
na Anatujulisha kwamba kupitia mwili na damu ya Mungu tu,
iliyotolewa kupitia mkate na divai ya Pasaka,
tunaweza kuwa watoto wa kweli wa Mungu.
(Mfumo wa Familia ya mbinguni una Baba, Mama, na watoto)
Kama vile Mungu Alivyompa Solomoni hekima ya kupambanua
nani alikuwa ni mama wa kweli, siku hizi watakatifu wa Kanisa
la Mungu wamepewa hekima kupitia maneno ya Biblia
na wamebarikiwa kumjia Mungu Mama.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha