Biblia inatabiri kwamba Yerusalemu ya duniani ilianzishwa na Mungu kama kivuli kutufunulia uhalisi, Yerusalemu wa kiroho, Mama wa Mbinguni.
Kwa hiyo, nyuma ya umuhimu ambao watu wengi huweka kwenye hija kwenda Yerusalemu kuna kidokezo kwamba lazima tuje kwa Yerusalemu, Mungu Mama.
Manabii wengi wametabiri kwamba wokovu unakuja kwa njia ya kurudi kwa Yerusalemu Mama, na Kristo Ahnsahnghong pia Alisema, “Ninamfuata Mama.”
Kwa hiyo, ikiwa umesoma na kusikia maneno haya, lazima uje kwa Mungu Mama kulingana na mafundisho haya ili ubarikiwe na Mungu.
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu.
Wagalatia 4:26
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.
Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha