Watu huishi hapa duniani, wakitekeleza nafasi zilizopewa kwao.
Walakini, wanapoitwa na Mungu,
wanarudi katika ulimwengu wa kiroho, ulimwengu wa asili yetu.
Kwa hiyo, Yesu Alitufundisha tuwe wenye hekima
na kuandaa mambo yote kwa ajili ya kuitwa ghafla
ili kwamba tusishtuke kutakapofanyika.
Yesu Aliubeba msalaba kwa ajili ya wokovu wa wanadamu,
na Mungu Ahnsahnghong Alikuja mara ya pili
kuwaokoa wale wanaomngojea yeye, na kutufundisha
uwepo wa Mungu Mama na Pasaka
—ukweli wa uzima.
. . . vivyo hivyo Kristo alitolewa mara moja tu
kuwa dhabihu ili azichukue dhambi za watu wengi.
Naye atakuja mara ya pili, sio kuchukua dhambi,
bali kuwaletea wokovu wale wanaomngoja kwa shauku. Waebrania 9:28
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha