Waisraeli walipowekwa huru kutoka utumwani Misri, walipoingia nchi ya ahadi ya Kanaani, Mfalme Yosia na Mfalme Hezekia, walioabudu sanamu, walipomrudia Mungu, na hata Waisraeli walipokombolewa kutoka utumwani, Pasaka ilikuwa katikati.
Kama vile ilivyokuwa katika nyakati zile, kazi ya Mungu ya wokovu inadhihirishwa kwa njia ya Pasaka leo.
Miaka elfu mbili iliyopita, Pasaka ya agano jipya, ambayo Yesu Alitamani sana kuiadhimisha pamoja na wanafunzi Wake, iliondolewa mnamo mwaka 325 BK kwa sababu ya njama kati ya dini na siasa nayo ikatokomea gizani; walakini, kama ilivyotabiriwa, Kristo Ahnsahnghong Alikuja na kuanzisha kazi ya wokovu kwa njia ya Pasaka.
Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa Kwangu.”
Luka 22:15
Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wanafunzi walimjia Yesu wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?”
Akajibu, “Nendeni kwa mtu fulani huko mjini, mkamwambie, ‘Mwalimu asema hivi: Saa Yangu imekaribia. Nitaiadhimisha Pasaka pamoja na wanafunzi wangu katika nyumba yako.’ ”
Mathayo 26:17–18
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha