Kuna ulimwengu wa chembe za msingi zisizoonekana kwa macho ya wanadamu, na ulimwengu uitwao Mwezi ambapo—kwa sababu ya utofauti wa mvutano—unaweza kutumia zaidi ya mara sita ya nguvu yako ukilinganisha na Dunia.
Hali kadhalika, ufalme wa mbinguni, unaoongozwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, hakika upo.
Tunapoutambua ulimwengu wa imani ambapo Mwenyezi Mungu hufanya kazi, tunaweza kujionea miujiza inayokuja kwa njia ya imani, kama vile kugawanywa kwa Bahari ya Shamu, ushindi wa Gideoni na kuanguka kwa Yeriko, na kuponywa kwa vipofu wawili.
Alipoingia mle nyumbani wale vipofu wakamjia. Naye Yesu akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?” Wakamjibu, “Ndiyo, Bwana.” Ndipo Yesu akagusa macho yao na kusema, “Iwe kwenu sawasawa na imani yenu.” Macho yao yakafunguka. . . . Mathayo 9:28–30
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha