Imani haionekani, lakini hatimaye inadhihirika kupitia tendo la utii.
Mungu Alitangaza mwisho tangu mwanzo, na kutabiri yale ambayo yatakuja, Akihimiza wanadamu kufanikisha wokovu wa ufalme wa mbinguni kupitia imani na utii.
Mungu Anapotuamuru jambo fulani, si kwa faida Yake mwenyewe bali kwa ajili yetu sisi—sawa na njia ya Mfalme Yosia, Abrahamu, na Noa, yote kwa ajili ya faida na wokovu wetu.
Hivyo, katika enzi hii vilevile, kwa kutii mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Waliokuja kama Roho na Bibi arusi, wanadamu wanabarikiwa na hatimaye watashiriki katika pumziko la Mungu.
Kama ukimtii BWANA Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, BWANA Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii BWANA Mungu wako: . . .
Utabarikiwa uingiapo na utabarikiwa utokapo.
Kumbukumbu 28:1–6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha