Ili tutembee na Mungu na kupaa Mbinguni
kama mababu wa imani kama vile Enoki, Noa na Abrahamu,
tunapaswa kufuata kielelezo ambacho Mungu Ametuonyesha.
Siku hizi, siku ya Sabato, Pasaka, na Sikukuu ya Vibanda
za Agano Jipya ambazo Kanisa la Mungu linazishika
ndivyo vielelezo vya Yesu.
“Mimi nimewawekea kielelezo kwamba imewapasa kutenda
kama vile nilivyowatendea ninyi.” Jn 13:15
Kanisa linalotembea na Mungu na kufuata kielelezo Chake
—kanisa ambalo linahubiri Agano Jipya kulingana
na mapenzi ya Mungu, ni Kanisa la Mungu tu ulimwenguni kote.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha