Mtume Yohana alitabiri kwamba maji ya uzima yanayowaokoa wanadamu yanaweza tu kupokelewa kutoka kwa Roho na Bibi arusi.
Tunaweza kujua Roho na Bibi arusi ni nani kwa kuchunguza maneno katika Biblia;
Mungu Aliumba mwanaume na mwanamke kwa mfano wa Mungu na Yerusalemu wa juu ndiye Mama yetu kama ilivyoandikwa kitabu cha Wagalatia.
Wao ni Baba Kristo Ahnsahnghong, Aliyekuja kama Roho, na Mungu Mama.
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu ni mahali ambapo Mungu Baba na Mungu Mama huwaita wanadamu waje kupokea msamaha wa dhambi, uzima wa milele, na wokovu.
Sababu ya kanisa kutumia vyeo “Baba”, “Mama”, “Kaka”, na “Dada” ni kwa sababu wanadamu wote ni wanafamilia wa familia ya mbinguni.
Mungu ni Baba yetu na Mama yetu.
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.
Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha