Kwa kuwa sasa wanadamu wanaishi katika ulimwengu uliojaa maumivu, mateso, na huzuni, Mungu Anataka kutupatia ufalme wa mbinguni ambapo hakuna mauti, maumivu, au huzuni tena, bali shangwe, ukunjufu, na furaha ya milele hufurika—huu ni mpango wa Mungu.
Mungu Alianzisha agano jipya kuwapa wanadamu ufalme wa milele wa mbinguni kama urithi.
Siri ya kujiwekea akiba ya baraka katika ufalme wa mbinguni ni kuadhimisha sikukuu kama Sabato na Pasaka na kumfuata Kristo Ahnsahnghong, ambaye Amekuja kama Mpatanishi wa agano jipya, na Mungu Mama, ambaye ndiye uhalisi wa Agano Jipya. agano.
BWANA Mwenye Nguvu Zote ameapa, “Hakika, kama vile nilivyopanga, ndivyo itakavyokuwa, nami kama nilivyokusudia, ndivyo itakavyosimama.”
Isaya 14:24
“Atafuta kila chozi kutoka macho yao. Mauti haitakuwepo tena, wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu, kwa maana mambo ya kwanza yamekwisha kupita.”
Ufunuo 21:4
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha