Solomoni alifanya kila kitu alichotaka, lakini mwishowe, akasema, “Kila kitu ni ubatili!” Na kama vile Aleksander Mashuhuri alivyokubali, kifo kinapokuja, mtu hurudi mikono mitupu. Hivyo, hatupaswi kuridhika na furaha na anasa za muda mfupi za dunia hii, bali tuishi kwa ajili ya ufalme wa milele wa mbinguni, tukimcha Mungu na kushika amri Zake. Njia ya hekima ya kuishi ni kuishi kwa ajili ya furaha ambayo tutafurahia milele katika ufalme wa mbinguni.
Wanadamu lazima wafanye uchaguzi unaoturuhusu kuishi kwa uaminifu katika dunia hii na kupokea baraka za Mungu mbinguni. Waumini wa Kanisa la Mungu wanashika siku ya Sabato na sikukuu saba za kila mwaka nao wanamtukuza Mungu kupitia matendo mema katika kujiandaa kwa ajili ya ufalme wa mbinguni na uzima wa milele.
nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka, na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili! Kila kitu ni ubatili!” Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa: Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Mhubiri 12:7–8, 13
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha