Mungu Ameahidi kutuchagua sisi kama wafalme katika ufalme wa mbinguni.
Ili wanadamu watembee njia sahihi kama wafalme kulingana na mapenzi ya Mungu, kinachohitajika ni imani kutenda kulingana na maneno Yake, si kwa mtazamo wa kibinadamu bali kutokana na mtazamo wa Mungu.
Njia zote zinazoonekana kuwa ngumu, za tabu, na changamoto kwa mtazamo wa kibinadamu kwa kweli hujazwa na upendo na baraka zinapoangaliwa kwa mtazamo wa Mungu.
Kwa hiyo, waumini wa Kanisa la Mungu wanatembea njia ya imani, wakifanya kauli mbiu ya kibiblia, “Fuateni popote Mungu Anapoongoza,” kanuni yao kuu inayoongoza.
“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu,” asema BWANA.
“Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia, ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.”
Isaya 55:8–9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha