Baba Ahnsahnghong Ametufundisha kwamba kuna Familia ya Mbinguni katika ufalme wa mbinguni na Ametuamsha kutambua ukweli kwamba tunaye Mungu Mama na kaka na dada wa mbinguni.
Pia Ametuamuru “Tupendane” kama vile Alivyotupenda sisi.
Kama vile Mungu Alivyotupenda kiasi cha kuvumilia mauti msalabani, tunaweza kutimiza sheria iliyo ndani yetu kwa kueneza upendo huo huo kwa ulimwengu.
Waumini wa Kanisa la Mungu hukupa kipaumbele kuishi kwa amri ya Mungu “Mpendane,” wakilenga kwa kila mtu, na si wao wenyewe tu, kupokea msamaha wa dhambi, kupata wokovu, na kuingia katika ufalme wa mbinguni.
“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi
nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
Kama mkipendana ninyi kwa ninyi, kwa njia hii,
watu wote watajua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu.”
Yohana 13:34–35
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha