Kwa Nini Ni Muhimu Kwetu Kwamba Isaki Alichaguliwa kuwa Mrithi wa Abrahamu?
Katika familia ya Abrahamu, si Eliezeri wala Ishmaeli aliyepokea urithi.
Isaki, aliye mdogo zaidi, alipokea urithi kupitia baba na mama yake ambao walikuwa huru.
Hili ni somo ambalo Mungu Anawafundisha wanadamu. Hata leo, tunapokuwa watoto wa Baba Ahnsahnghong na Mungu Mama kwa njia ya agano jipya, tunaweza kuwa ukuhani wa kifalme mbinguni kama warithi wa Mungu.
Yesu Aliposema, “Wewe huna sehemu nami,” Petro alishtuka kwa sababu wale tu walio na sehemu na Mungu huweza kuokolewa na kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Hii ndiyo maana waumini wa Kanisa la Mungu huweka mioyo yao yote katika kuhubiria ulimwengu mzima habari za Mungu Baba na Mungu Mama na kuwaelimisha kwamba uhusiano kati ya Mungu na wanadamu ni sawa na uhusiano kati ya Wazazi na watoto.
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu.
Wagalatia 4:26
“Mimi nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu, asema Bwana Mwenyezi.”
2 Wakorintho 6:18
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha