Leo, hata Kanisa Katoliki, linaloshika ibada ya Jumapili, linakubali kwamba Sabato iliyorekodiwa katika Biblia ni Jumamosi, sio Jumapili.
Katika nyakati za Agano la Kale, Mungu Yehova Alitangaza siku ya saba kama Sabato ya Mungu na Akaamuru ishikwe takatifu kama amri ya nne kati ya Amri Kumi.
Katika nyakati za Agano Jipya, Yesu pia Alisema kwamba Sabato inapaswa kutakaswa hadi mwisho wa dunia.
Kuabudu siku ya Jumapili, siku ya kwanza, ambayo haijatajwa katika Biblia, ni tendo la kuongeza au kupunguza kutoka kwa maneno ya Mungu, na hivyo, huongoza kwenye kupokea maafa na kushindwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha