Mungu Alisema kwamba Atatumia majina
matatu hadi mwisho wa dunia—jina la Baba,
na la Mwana, na la Roho Mtakatifu; katika
nyakati za Baba, ilikuwa Yehova, na katika
nyakati za Mwana, ilikuwa Yesu.
Yesu Alitujulisha kwamba jina Lake jipya
litatokea wakati ujao, na kwamba watapewa
watakatifu ambao wataokolewa tu.
Jina jipya la Yesu ni jina la Mungu
katika enzi ya Roho Mtakatifu.
Ni katika Kanisa la Mungu tu ndipo tunaweza
kujua jina jipya la Yesu, yaani, jina la Roho
Mtakatifu, na kubatizwa katika jina la Baba,
na la Mwana, na la Roho Mtakatifu ili
kutembea katika njia ya wokovu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha