Mungu Aliibariki siku ya Sabato hapo mwanzo
na kuifanya takatifu, na Aliiamuru kuwa amri
ya nne kati ya Amri Kumi katika wakati wa
Mose; Siku ya Sabato ni amri ya Mungu
ambayo lazima tuishike hadi mwisho wa nyakati.
Yesu Alitufundisha kwamba ni lazima tuitakase
siku ya Sabato hadi mwisho wa nyakati kwa
kusema, “Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe
siku ya Sabato,” hivyo ni kosa kusisitiza
kwamba hakuna haja ya kuishika siku ya
Sabato katika nyakati za Agano Jipya
na inapingana na mafundisho ya Yesu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha