Miaka elfu mbili iliyopita, Yesu Alifananisha wokovu wetu na kuingia kwetu katika ufalme wa mbinguni na kualikwa kwenye karamu ya arusi ili kushuhudia kuhusu Mama wa Mbinguni, ambaye Atatokea pamoja na Mungu Baba na kuwapa wanadamu maji ya uzima katika enzi ya mwisho ya dunia Roho Mtakatifu.
Wakati wa ujio wa kwanza wa Yesu, wakati ulikuwa bado haujafika wa Bibi arusi kutokea, hivyo Bwana arusi na hao wageni tu ndio waliotajwa katika mifano ya Yesu, lakini Biblia inatabiri kwamba Bibi-arusi, kama Mke wa Mwana-Kondoo, yaani, Mama wa Mbinguni, Yerusalemu wa Mbinguni, Atatokea katika siku za mwisho.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha