Sababu ya Yesu kuwa Kuhani Mkuu milele kwa mfano wa Melkizedeki ni kwa sababu, katika enzi hii, pia, kuna Pasaka ya agano jipya lazima Aifanye kama Kuhani.
Kama vile Melkizedeki alivyombariki Abrahamu kwa mkate na divai katika nyakati za Agano la Kale, Yesu Aliwajalia wanadamu baraka ya uzima wa milele kupitia mkate na divai.
Kama Yesu, Kristo Aliyekuja Mara ya Pili Ahnsahnghong pia Alihudumu kama Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki, Akitoa baraka ya uzima wa milele kupitia mkate na divai ya Pasaka ya agano jipya.
Katika enzi hii, ni wale tu wanaofuata mfano wa Melkizedeki wa agano jipya, na sio mfano wa Aroni wa agano la kale, wanaweza kuwa watoto wa ahadi wanaorithi ahadi ya Mungu.
Mungu alipotaka kuonyesha kwa udhahiri zaidi ile asili ya kutokubadilika kwa ahadi yake kwa warithi wa ahadi, aliithitibisha kwa kiapo. . . .
mahali ambapo Yesu mtangulizi wetu aliingia kwa niaba yetu. Yeye amekuwa Kuhani Mkuu milele, kwa mfano wa Melkizedeki.
Waebrania 6:17–20
Siri hii ni kwamba, kwa njia ya Injili, watu wa Mataifa ni warithi pamoja na Israeli, viungo vya mwili mmoja na washiriki pamoja wa ahadi katika Kristo Yesu.
Waefeso 3:6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha