Biblia inatabiri kwamba Roho na Bibi arusi Watatoa maji ya uzima katika enzi hii (Ufu 22:17).
Roho ni Mungu Baba.
Basi, Bibi arusi anayetokea na Roho na kutupatia maji ya uzima ni nani?
“Njoo, nami nitakuonyesha bibi arusi, yaani, mke wa Mwana-Kondoo.” . . .
akanionyesha ule Mji Mtakatifu, Yerusalemu, ukishuka kutoka mbinguni . . . ( Ufu 21:9–10 )
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu.(Gal 4:26)
Kwa maneno mengine, kwa kuwa Bibi-arusi wa Roho ni Mungu Mama, tunaweza kupokea baraka ya maji ya uzima tunapowapokea Mungu Baba na Mungu Mama ambao ni Roho na Bibi arusi.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha