Kama Mungu Asemavyo, “Upendo ndilo lililo kuu zaidi,” tunaweza kuwa na upendo kamili iwapo tu tunawafikiria wengine kila wakati kabla yetu wenyewe na kuwa na moyo mnyenyekevu unaofanana na Mungu.
Waumini wote wa Sayuni ni kaka na dada wa kiroho, yaani, familia ya mbinguni ya upendo. Tunapotumikiana kwa unyenyekevu kama Kristo Ahnsahnghong Alivyofundisha, tunaweza kuzaa tunda la upendo.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA 
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha