Makanisa yote yanakubaliana kumrejelea Mungu kama “Baba” bila kujali madhehebu yao. Kote katika historia, wanadamu wamemwabudu na kumwamini Mungu mmoja tu, Mungu Baba, lakini Biblia imetufundisha mara kwa mara kwamba ili wanadamu wapokee uzima na kuingia katika ufalme wa milele wa mbinguni, uwepo wa Mungu Mama ni muhimu.
Mungu Aliumba samaki wa baharini, wanyama wa nchi kavu, ndege wa angani, ulimwengu wa mimea, na hata wanadamu wapokee uhai kupitia mama, Akikusudia sisi tumtambue Mungu Mama Atoaye uhai kupitia majaliwa ya mambo yote.
“Bwana wetu na Mungu wetu, wewe unastahili kupokea utukufu na heshima na uweza, kwa maana ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako viliumbwa na vimekuwako.”
Ufunuo 4:11
Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1:27
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha