Ni lazima tumtafute Mungu kwa sababu majibu ya matatizo katika maisha yetu daima yanatolewa na Mungu.
Sababu Daudi, Yehoshafati, na Hezekia waliishi maisha yenye baraka na ushindi ni kwa kuwa walimtegemea Mungu, sio wanadamu au vitu vya ulimwengu wa kimwili.
Mungu Aliandika historia ya zamani katika Biblia kwa ajili yetu sisi tunaoishi katika enzi hii.
daima Mungu Alikuwa pamoja na watu Wake—Yeriko ilipotekwa na Bahari ya Shamu kugawanywa.
Wakikumbuka hili, waumini wa Kanisa la Mungu daima humtegemea Mungu katika hali yoyote ngumu.
Hivi ndivyo Hezekia alivyofanya katika Yuda yote, akifanya lile lililo jema, sawa na la uaminifu mbele za BWANA Mungu wake.
Naye katika kila kitu alichofanya . . . alimtafuta Mungu wake na kufanya kazi kwa moyo wake wote. Naye hivyo akafanikiwa.”
2 Nyakati 31:20–21
Watu wengi wakaleta sadaka Yerusalemu kwa ajili ya BWANA na zawadi za thamani kwa ajili ya Hezekia mfalme wa Yuda. Tangu hapo na kuendelea, Hezekia aliheshimiwa sana na mataifa yote.
2 Nyakati 32:23
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha