Kama vile watakatifu wa Kanisa la mapema walivyokuwa na tumaini la ufufuo kupitia ufufuo wa Yesu Kristo nao hawakuogopa magumu, mateso, wala hali mbaya za ulimwengu huu, ndivyo wanavyoogopa watakatifu wa Kanisa la Mungu.
Hawaishi kwa kile kinachoonekana kwa macho au kwa muda mfupi, badala yake, wanaishi wakiwa na tumaini la ufufuo na kwamba wataishi katika miili ya kiroho katika ulimwengu wa kiroho.
Baada ya Yesu kufufuka, ghafla Alitoweka Alipokuwa Akiongea na wanafunzi Wake, bila kutarajiwa Alitokea katika chumba kilichofungwa, na Akawaonyesha kupaa Kwake mbele yao.
Hii inaashiria kwamba sisi, pia, tutakuwa kama Yesu katika asubuhi ya ufufuo.
Pia kuna miili ya mbinguni na miili ya duniani, lakini fahari wa ile miili ya mbinguni ni wa aina moja na fahari wa ile miili ya duniani ni wa aina nyingine. . . .
Kama kuna mwili wa asili, basi kuna mwili wa kiroho pia.
1 Wakorintho 15:40–44
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha