Wakati wa maisha yetu, kuna shughuli nyingi tofauti, kama vile kujishughulisha na kazi pamoja na kukuza maarifa mbalimbali.
Walakini, hatimaye, iwapo tu tunawapata Roho na Bibi arusi, yaani, Baba Ahnsahnghong na Mungu Mama, tutaweza kupokea maji ya uzima, kusamehewa dhambi zetu, na kurudi nyumbani kwetu pa milele, ufalme wa mbinguni.
Biblia, ambayo ni kitabu cha unabii kilichoandikwa na wale walioongozwa na Roho Mtakatifu, kinatabiri kwamba Mungu, yaani, Nuru ya Ukweli, Atakuja kwenye dunia ambayo imefunikwa na giza na kuwaokoa wanadamu na kwamba Shetani aliyekuwepo katika Bustani ya Edeni, ambaye anampinga Mungu Mama, atakabili maangamizi.
"Nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na wake, yeye atakuponda kichwa, nawe utamuuma kisigino.”
Mwanzo 3:15
Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke na likaondoka ili kupigana vita na watoto waliosalia wa huyo mwanamke, yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo. Lile joka likasimama kwenye mchanga wa bahari.
Lile joka lilisimama kando ya bahari. . . .
Ufunuo 12:17–13:1
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha