Patakatifu na pazia, ambavyo Mose alivijenga kama mfano wa patakatifu pa mbinguni, vinamwakilisha Yesu Kristo, na Patakatifu pa Patakatifu panawakilisha Mama wa Mbinguni Yerusalemu.
Kupitia patakatifu, Mungu Alituruhusu kuwatambua Mungu Baba na Mungu Mama.
Manabii walishuhudia kwamba wanadamu wataweza kupokea uzima kupitia maji ya uzima yanayotiririka kutoka hekaluni.
Takribani miaka 2,000 iliyopita, Yesu, ambaye ndiye hekalu, Alipaza sauti katika Siku ya Mwisho ya Sikukuu ya Vibanda, kupokea maji ya uzima, na imetabiriwa katika Biblia kwamba katika enzi ya Roho Mtakatifu, Roho na Bibi arusi, ambao ndio uhalisi wa Mahali Patakatifu na Patakatifu pa Patakatifu, Watakuja duniani na kuwapa wanadamu wokovu kupitia maji ya uzima.
Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?” Lakini yeye Hekalu alilozungumzia ni mwili wake.
Yohana 2:20–21
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.
Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha