Mose na Waisraeli walipokuwa wanajenga hema kama mahali kwa ajili ya Amri Kumi kukaa, kwa utiifu kwa mapenzi ya Mungu, mioyo ya watu ikaguswa nao wakaleta aina zote za vifaa kwa ajili ya ukamilishaji wa kujenga hekalu kwa shangwe. Hii ikawa chimbuko la Sikukuu ya Vibanda.
Yesu Alikusanya vifaa kwa ajili ya hekalu la Mbinguni kwa njia ya kuhubiri.
Maana ya kweli ya Sikukuu ya Vibanda kwa enzi hii ni kuwapata wanafamilia wetu wote wa Mbinguni—vifaa kwa ajili ya hekalu la kiroho, na kuwaongoza kwa Baba na Mama, na kulikamilisha hekalu la Mbinguni.
“Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kusimamishwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Bwana. Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho wake.” Waefeso 2:21–22
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha