Katika Siku ya Upatanisho, Mose alishuka akiwa na vibao vya mawe vya zile Amri Kumi na kurushia habari za mapenzi ya Mungu. Ndio watu wakaleta sadaka kwa shangwe kutumiwa kwa ajili ya kazi ya kujenga hekalu wakitoa shukrani kwa Mungu kwa kusamehe dhambi zao. Sikukuu hii ni Sikukuu ya Vibanda.
Katika enzi hi, waumini wa Kanisa la Mungu wanafanya kazi ya mhubiri wa injili kwa kuwakusanya watu wa Mbinguni, yaani vifaa vya kiroho vya hekalu, ulimwenguni kote na kuwaongoza kwenye wokovu wa Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama. Hii ni misheni yenye baraka ya waumini wa Kanisa la Mungu, ambao wanatimiza unabii wa Sikukuu ya Vibanda.
“Yeye ashindaye nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu wala hatatoka humo kamwe.”
Ufunuo 3:12
Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote: “Kwa sababu watu hawa wamesema maneno haya, nitafanya . . . watu hawa wawe kuni . . .”
Yeremia 5:14
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha