Kama vile watu wa ulimwengu wanavyokasirika watu wasiohesabika wasio na hatia wanapouawa vitani, Yesu Alikasirishwa na Shetani, aliyesababisha watoto Wake wa kiroho kumwaga damu yao.
Aliufunua utambulisho wake kwa watoto Wake kupitia Mfano wa Magugu na Ngano, Akiwafundisha wasidanganywe na uasi wa sheria unaoujaza ulimwengu, kama vile ibada ya Jumapili na Krismasi.
Magugu yaliyopandwa na Shetani ulimwenguni ni ibada ya Jumapili, Krismasi, na uchaji wa msalaba, ambayo ni matendo ya ibada kwa mungu jua na yatasababisha adhabu ya jehanamu.
Kulingana na mafundisho ya Biblia, waumini wa Kanisa la Mungu huzishika amri za Mungu, ikiwemo siku ya Sabato na Pasaka.
“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 7:21
Akafungua kinywa chake ili kumkufuru Mungu, . . .
Nao watu wote waishio duniani watamwabudu huyo mnyama, yaani, wale wote ambao majina yao hayakuandikwa kwenye kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo . . .
Ufunuo 13:6–8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha