Waisraeli walipokea seti ya pili ya Amri Kumi baada ya kutubu kuabudu kwao sanamu, na Mungu Akaiita siku hiyo Siku ya Upatanisho kwa sababu walipata upatanisho kutoka kwa Mungu.
Sikukuu ya Tarumbeta katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba kulingana na kalenda takatifu ni sikukuu ambapo tarumbeta ya toba ilipulizwa kwa sauti ili kuashiria kwamba watu wote wanapaswa kutubu kwa Mungu kwa sababu siku kumi baadaye ni Siku ya Upatanisho.
Kama vile Waisraeli walivyopiga tarumbeta ya toba siku kumi kabla ya Siku ya Upatanisho katika wakati wa Mose, ni lazima sasa tupige tarumbeta kuuita ulimwengu wote uje kwa Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama waokolewe na wafikie toba kamili kwa njia ya ubatizo na sikukuu za agano jipya.
“Waambie Waisraeli: ‘Katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtakuwa na siku ya mapumziko, kusanyiko takatifu la ukumbusho litakaloadhimishwa kwa kupiga tarumbeta.’ ”
Walawi 23:24
Yesu akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.
Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.”
Luka 5:31–32
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha