Sikukuu ya siku kumi inayoanza kuanzia Sikukuu ya Tarumbeta
hadi Siku ya Upatanisho ni kipindi muhimu sana cha toba
ambacho Mungu huwajalia wanadamu.
Biblia inatuamsha kwa maisha yetu yaliyotangulia
kupitia kisa cha Mfalme wa Babeli na cha Mfalme wa Tiro.
Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni Walikuja duniani
na Agano Jipya, njia ya wokovu,
ili kwamba wanadamu wote waweze kutubu kikamilifu.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanajitahidi
kulitii neno la Mungu na kutohusika tena katika dhambi,
wakiishi maisha ya toba.
akisema, “Wakati umewadia, Ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Habari Njema.” Marko 1:15
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha