Kwa sababu ni maziko na mazishi ya dhambi za wanadamu, ubatizo haumanishi tu kuosha,
bali ubatizo wenye maana ya mzamo (maziko) ni ukweli wa Biblia.
Kwa kuwa Biblia inasema, “Mshahara wa dhambi ni mauti,” kuna siku watu wote watakufa Walakini, Mungu anaturuhusu kuzika dhambi zetu kabla kupitia ubatizo, na kuwapa maisha mapya wale waliobatizwa, kama vile alivyomfufua Yesu kutoka wafu.
Mungu huwapa uzima wa milele wale wanaokula mwili wa Yesu na kunywa damu Yake,
ili kwamba wasitende dhambi tena baada ya kuondolewa dhambi zao kupitia ubatizo.
Mungu Hutujalia Msamaha wa Dhambi Kupitia Ubatizo, na Uzima wa Milele Kupitia Pasaka ya Agano Jipya.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha