Ni thibitisho kwamba mmoja amepokea Roho Mtakatifu Anapokuja kuwa na imani katika ukweli wa uzima, akimtambua Mungu kwa usahihi, na kumpokea.
Jenerali Kim Yu-shin aliwakaripia wanajeshi ambao walitaka amani bila kufanya juhudi yoyote; alimpiga kwa mshale yule hua kuwatia wanajeshi wake moyo wa kuthubutu. Vivyo hivyo, kwa Roho Mtakatifu tuliyempokea kutoka kwa Mungu, ni lazima twende kuihubiri injili.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha