Mara tu kila mtu anapozaliwa, lazima akabili mauti na kisha wapewe uzima baada ya siku hiyo.
Mungu huwahukumu wale watakaoteseka jehanamu na wale watakaopokea utukufu mbinguni, kwa msingi wa kama waliishi kulingana na mapenzi ya Mungu hapa duniani au la.
Biblia, kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo, inashuhudia kuhusu Mungu Mama, na pia katika Biblia ya awali ya Kiebrania, imeandikwa kama “Miungu [Elohim].”
Kwa hiyo, wakifuata mafundisho yote ya Biblia na mapenzi ya Mungu, waumini wa Kanisa la Mungu wanamwamini Mungu Elohim.
Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu, . . .
Waebrania 9:27
“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 7:21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha