Waisraeli walisahau neno la Mungu lililowaokoa walipoumwa na nyoka wenye sumu.
Badala yake, waliabudu ile nyoka ya shaba kwa zaidi ya miaka 800, lakini ile nyoka ya shaba ilivunjwa na Hezekia.
Vivyo hivyo, jambo la muhimu zaidi ni kwamba damu ya thamani ya Yesu Kristo ndicho kitu pekee kinachoweza kuwaokoa wanadamu.
Kwa hiyo, lazima tutambue kwamba tukiweka msalaba, ambao ni chombo tu cha kuulia, tutalaaniwa.
Msalaba, ambao ulikuwa umepitishwa hadi Roma tangu wakati wa Babeli ya kale, uliingizwa kanisani karibia mwaka 431 BK, baada ya Yesu kupaa mbinguni na mitume wote kuondoka.
Kulingana na mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Waliosema, “Msiabudu sanamu,” Kanisa la Mungu halisimamishi wala kuabudu msalaba wala sanamu nyinginezo.
“Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, . . . Usivisujudie wala kuviabudu;”
Kutoka 20:4–5
“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa BWANA, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Kumbukumbu 27:15
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha