Tunaposali kwa Mungu, tukiomba mambo ya kidunia, na Mungu Anapojibu tofauti na matarajio yetu, tunaweza kusema, “Mungu hajibu maombi yangu.”
Walakini, sio kweli.
Ni lazima tujue kwamba ni njia ya Mungu ya upendo kutupa baraka ya ufalme wa mbinguni inayonufaisha nafsi zetu.
Upendo wa mama aliyejidhabihu kuokoa mtoto mchanga kwenye siku yenye baridi kali Januari 1951 unatufanya tufikirie kuhusu dhabihu ya Wazazi wetu wa kiroho, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Walijitoa Wenyewe kuwa dhabihu kuchukua dhambi za wanadamu na kuwapa wanadamu ufalme wa milele wa mbinguni.
Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.
Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo.
1 Yohana 4:7–8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha