Viumbe vyote hupokea uhai kupitia mama zao.
Haijalishi kiumbe ni mdogo kiasi gani
na asiye na maana, mama ana upendo wa kimama
wa kujitoa unaomwezesha kutoa uhai wake
kwa ajili ya watoto wake.
Kwa nini Mungu Aliumba vitu vyote
kupokea uzima kupitia mama zao?
Na kwa nini akina mama,
hata mama wa viumbe wasio na maana,
wote wana upendo wa mama?
Mungu, Aliyeumba vitu vyote kwa mapenzi Yake,
Alitufunulia njia ya kupokea uzima wa milele,
kupitia kanuni ya kuzaliwa katika dunia hii
na kupitia hulka ya ukuu ya Mungu Mama.
Viumbe hai vyote vinaweza kuishi kwa kadiri tu
ya urefu wa maisha ambayo umepewa na amama zao.
Hivyo, tunaweza kupokea uzima wa milele
kupitia Mama yetu wa kiroho.
Hii ni kwa sababu Mungu Mama pekee,
ambaye ana uzima wa milele,
Anaweza kutupa uzima wa milele.
Katika nyakati hizi, ni lazima tuwe watoto wa Mungu Mama
ili kupokea uzima wa milele.
Njoo kwenye Kanisa la Mungu
linalomwamini Mungu Mama!
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha