Yesu Alionyesha wazi kwamba mtu ni muunganiko wa mwili na roho kupitia mfano wa “Tajiri na Lazaro,” naye Alitufundisha tufikirie kuhusu mbinguni na jehanamu ambapo kila roho zetu itapelekwa baada ya kufa kwa miili yetu.
Kila siku, waumini wa Kanisa la Mungu huishi kama Wakristo watakatifu na watauwa, wakiacha asili yao ya dhambi kulingana na neno la Mungu ili kwamba kila mtu atahukumiwa kulingana na yale aliyoyatenda, na fundisho la Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ambaye Alisema, “Ni muhimu kuishi maisha ya utii na toba kulingana na mafundisho ya Mungu.”
Nami nikawaona wafu wakubwa na wadogo,
wakiwa wamesimama mbele ya hicho kiti
cha enzi na vitabu vikafunguliwa. Pia kitabu
kingine kikafunguliwa ambacho ni kitabu
cha uzima. Hao wafu wakahukumiwa
sawasawa na matendo yao kama
yalivyoandikwa ndani ya hivyo vitabu.
Ufunuo 20:12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha