Esau alidharahi haki yake ya mzaliwa wa kwanza; mtumishi mwovu alificha talanta moja ardhini; na wanawali watano wapumbanu hawakuandaa mafuta mapema. Iwapo tu tunayo hekima ya kufanya hukumu za kiroho juu ya msingi wa imani katika hali yoyote, hatutapoteza urithi wa milele wa Mbinguni ambao Mungu Atatujalia.
Kama wanawali tano wenye busara, waumini wa Kanisa la Mungu wanaamini kwamba kushinda taabu zote wanazokabii kwa maneno ya Mungu na kwa imani, wakimpokea Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong na Mungu Mama Waliokuja katika Enzi ya Roho Mtakatifu, ni njia za kuandaa kwa ajili ya Ufalme wa Mbinguni.
Ndugu zangu, sitaki mkose kufahamu ukweli huu kwamba . . . Mungu hakupendezwa na wengi wao, kwa hiyo miili yao ilitapakaa jangwani. Basi mambo haya yalitokea kama mifano ili kutuzuia tusiweke mioyo yetu katika mambo maovu kama wao walivyofanya.
1 Wakorintho 10:1-6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha