Ulimi, wenye uwezo wa kuokoa au hata kumwangamiza mtu, unaweza kusababisha uharibifu ukitumiwa vibaya bali unakuwa kiungo kifaacho cha mwili unapotumiwa kwa usahihi.
Kuanza kulalamika na kunung'unika inamaanisha tayari tumekubali mwaliko kutoka kwa ibilisi.
Kwa kuwa tumepokea uzima wa milele kupitia maneno yenye neema ya Mungu, lazima tuutumie ulimi wetu kwa wema na katika kumtumikia Mungu Aliyetupatia.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha