Manabii walioandika Biblia waliishi katika nyakati tofauti na walikuwa na kazi mbalimbali na haiba mbalimbali, ila wakiongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, waliacha unabii wenye kupatana, ukituelimisha kuhusu “kwa nini wanadamu walikuja katika dunia hii na tunapoelekea.”
Kwa kuwa Biblia ni ukweli, lazima tuamini katika unabii kuhusu Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Kitabu cha Isaya kilitabiri kuhusu mateso ya Yesu miaka 700 kabla ya ujio Wake, na kitabu cha Ayubu kiliandika mzunguko wa maji na ukweli kwamba dunia imening'inia angani miaka 3,500 iliyopita, ukweli ambao sayansi iligundua tu katika karne ya 17.
Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki,
ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.
2 Timotheo 3:16–17
Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu.
Ayubu 26:7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha