Watazamaji ambao hawavutiwi na injili hawawezi kamwe kuurithi ufalme wa mbinguni.
Kwa hiyo, ni lazima tushiriki kwa uwajibikaji katika kazi ya wokovu, inayoongozwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, kwa nia ya bwana, kama vile Mtume Paulo alivyofanya.
Kama usemi usemavyo, “Anayewajibika ni mmiliki, na yeye asiyewajibika ni mgeni,” watu wa Mungu ambao wameitwa kama wafanyakazi wa agano jipya wanapaswa kuuhubiria ulimwengu ukweli wa agano jipya, ambao unaweza kuwaongoza wanadamu kwenye wokovu.
Yesu akawajia na kusema, “. . . Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. . . .”
Mathayo 28:18–20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha