Watu wengi ulimwenguni hawafanyi maandalizi kwa ajili ya ulimwengu wa milele, wakifikiri kwamba ulimwengu huu ndio kila kitu chao.
Wakati wanapokabili kifo, watapotea wakiwa wamekata tamaa na watakuwa chini ya adhabu ya jehanamu kwenye hukumu ya Mungu.
Ikiwa tunataka kufurahia utukufu wa milele katika ufalme wa mbinguni bila kuteseka milele jehanamu, lazima tuchunguze kila siku kama tunaishi kulingana na mafundisho ya Mungu Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni, na tufanye kila jitihada kuishi kwa njia istahiliyo ufalme wa mbinguni.
Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu, . . .
Waebrania 9:27
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha