Kama Mungu Alivyosema, “Wanawezaje kumwamini Mungu bila mtu kuwahubiria?” Mungu Amewapa watakatifu leo utume wa kupanda mbegu za injili. Kama vile Mungu Alivyouharibu mji wa Yeriko na kuigawa Bahari ya Shamu, tukihubiri wokovu uliotolewa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama kwa imani, Mungu Atatusaidia daima ili tuweze kuvuna kwa furaha mbegu za injili zilizopandwa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha