Roho na Bibi-arusi Watakapokuja duniani katika enzi ya Roho Mtakatifu, kutakuwa na watu kama Zakayo ambao watashangilia na kuwakaribisha, na kutakuwa na watu kama Wayahudi na Mafarisayo ambao watawapiga mawe na kuwatesa, kuwaita wazushi.
Ukweli ni kwamba Roho na Bibi arusi, Baba Ahnsahnghong na Mungu Mama, walikuja hapa duniani kutoka mbinguni kuwaokoa wanadamu ni habari kuu zaidi kwa wanadamu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha