“Kumwamini Mungu” inamaanisha kutii na kuweka katika utendaji maneno Anayotoa.
Kama vile mke wa Loti alivyobadilika kuwa nguzo ya chumvi, na Waisraeli wakawa watumwa wa adui zao, vivyo hivyo wale ambao hawalisikilizi neno la Mungu watapatwa na maafa kama hayo leo.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanaamini kwamba mafundisho yaliyotolewa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ndiyo njia pekee ya wokovu wa milele mbinguni, na kwa shangwe wanafuata maagizo Yake na maneno Yake yote, wakitarajia kwa hamu, “Mungu Atatoa maneno gani ya baraka juu yetu leo?”
Hili ndilo asemalo BWANA, Mkombozi wako,
yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: “Mimi ni BWANA,
Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida,
nikuongozaye katika njia ikupasayo kuiendea.
Laiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu,
amani yako ingekuwa kama mto,
haki yako kama mawimbi ya bahari.”
Isaya 48:17–18
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha