“Yeye atakayeujenga tena mji wa Yeriko, atapoteza mzaliwa wake wa kwanza na mwanawe mdogo zaidi.”
Unabii wa Yoshua haukupotea hata baada ya miaka 500 bali wote ulitimia.
Vivyo hivyo, kila unabii ulioandikwa katika Biblia unatimizwa, hata jambo dogo sana.
“Watu katika ulimwengu wote watakuja kwenye Kanisa la Mungu kujifunza mafundisho ya Mungu Mama.”
Leo, wanadamu wanaweza kushuhudia kwamba maneno ya Kristo Ahnsahnghong kuhusu utukufu wa Mama wa Mbinguni Yerusalemu yanatimizwa.
Ni kwa sababu maneno Yake ni unabii wa Biblia kwamba Mungu tayari Ametabiri kupitia manabii wengi kama vile Isaya, Yeremia, Ezekieli, Zekaria, na Mtume Yohana.
Nasi tunalo pia neno la hakika zaidi la unabii, ambalo mtafanya vyema mkiliangalia kwa bidii, kama vile nuru inavyongʼaa gizani, . . . kwamba hakuna unabii katika Maandiko uliofasiriwa kama alivyopenda nabii mwenyewe. Kwa maana unabii haukuja kamwe kwa mapenzi ya mwanadamu, bali watu walinena
yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
2 Petro 1:19–21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha